Skip to main content
News and Events

WAZIRI KOMBO AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Algeria Mhe. Ahmed Djellal aliyefika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam  kuaga kwa  kumaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini.

Kwa pamoja viongozi hao wawili wamekumbushana kuhusu historia nzuri ya uwili kati ya Tanzania na Algeria iliyoanza kabla ya Uhuru na kuendelea kunawiri hadi sasa.

Waziri Kombo ameishukuru Algeria kwa ushirikiano mzuri wa kimaendeleo na kuahidi kukuza ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Algeria.

Kwa upande wake Mheshimiwa Balozi Djellal ameshukuru kwa Mkutano wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano uliofanyika mwaka 2023. Aidha, ameipongeza Wizara kwa kuanzisha Jarida la ‘Foreign Affairs Bulletin’ ambalo limetoka kwa mara ya kwanza mwezi Oktoba, 2024.

venusbet 1pusulabet.com betovis hiltonbet mavibet milosbet istanbulbayanmasozler.com kalebet34.net trwin betadonis beinwon.info vbet betitbet.com.tr trwinx.com betandyou casino

healthandbeautytravel